- Habari, Kitaifa
- April 25, 2024
READ MOREHabari kubwa za Magazeti ya leo tarehe 25/4/2024 Kurasa za Mbele na Nyuma.
READ MORE- Habari, Kitaifa
- April 16, 2024
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Aprili 16, 2024 amewasili Halmashauri ya Mlimba, Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro ambapo atakagua athari zilizosababishwa na mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini katika maeneo ya Taweta, Masagati, Utengule na Malinyi. Pia Mheshimiwa Majaliwa atazungumza na wananchi waliothirika na mafuriko hayo. Aidha, Mheshimiwa Majaliwa pia ataelekea Wilaya ya
READ MORE